Files
blockly/apps/json/sw.json
2014-10-15 17:02:22 -07:00

42 lines
2.4 KiB
JSON

{
"@metadata": [],
"Apps.subtitle": "mazingira ya programu ya kuona",
"Apps.blocklyMessage": "Blockly",
"Apps.codeTooltip": "Tazama mwandiko wa JavaScript inayotokana.",
"Apps.linkTooltip": "Hifadhi na kiungo cha vishiku.",
"Apps.runProgram": "Endesha Programu",
"Apps.resetProgram": "Seti upya",
"Apps.dialogOk": "Sawa",
"Apps.httpRequestError": "Kuna shida na amri.",
"Apps.linkAlert": "Sambaza vishiku vyako na kiungo hiki: \n\n%1",
"Apps.hashError": "Samahani, '%1' haiendani na faili yoyote ya Blockly.",
"Apps.xmlError": "Upakiaji wa faili yako iliyohifadhiwa haiwezekani. Labda iliundwa na toleo tofauti ya Blockly?",
"Maze.maze": "Mzingile",
"Maze.moveForward": "songa mbele",
"Maze.turnLeft": "geuka kushoto",
"Maze.turnRight": "geuka kulia",
"Maze.doCode": "fanya",
"Maze.elseCode": "vingenevyo",
"Maze.helpIfElse": "Hifadhi na kiungo cha vishiku.",
"Maze.pathAhead": "kama kuna njia mbele",
"Maze.pathLeft": "kama kuna njia kusoto",
"Maze.pathRight": "kama kuna njia kulia",
"Maze.repeatUntil": "rudia mpaka",
"Maze.moveForwardTooltip": "Kusogeza Bw. Banzi mbele nafasi moja.",
"Maze.turnTooltip": "Kugeuza Bw. Banzi kushoto au kulia kwa digrii 90.",
"Maze.ifTooltip": "Iwapo mwelekeo uliobainishwa una njia, kisha fanya matendo fulani.",
"Maze.ifelseTooltip": "Iwapo mwelekeo uliobainishwa una njia, kisha fanya seti ya kwanza ya matendo. Vingenevyo, fanya seti ya pili ya matendo.",
"Maze.whileTooltip": "Rudia matendo yalioambatanishwa mpaka mwisho.",
"Maze.capacity0": "Unavyo bado vishiku vi%0.",
"Maze.capacity1": "Unacho bado kishiku kimoja.",
"Maze.capacity2": "Unavyo bado vishiku vi%1.",
"Maze.nextLevel": "Hongera! Uko tayari kuendelea na sehemu ya %1?",
"Maze.finalLevel": "Hongera! Umetatua sehemu ya mwisho.",
"Maze.helpStack": "Panganya vishiku vichache vya 'songa mbele' ili kunisaidia kufikia lengo.",
"Maze.helpOneTopBlock": "Katika sehemu hii, itabidi upanganye vishiku vyote ndani ya eneo ya kazi nyeupe.",
"Maze.helpRepeat": "Kompyuta ina kumbukumbu ndogo. Fikia mwisho wa njia hii kwa kutumia vishiku viwili tu. Tumia 'rudia' kusudi vishiku viende zaidi ya mara moja.",
"Maze.helpRepeatMany": "Fikia lengo kwa kutumia vishiku vitano tu.",
"Maze.helpIf": "Vishiku vya 'iwapo' vitatenda kama masharti yake ni kweli tu. Jaribu kugeuka kushota kama kuna njia kwenda kushoto.",
"Maze.helpWallFollow": "Je, unaweza kutatua mzingile mgumu huu? Jaribu kufuatia ukuta wa kushoto. Wanaprogramu wa juu tu!"
}